HUKO SIO POA UNAAMBIWA NI KWA VITENDO SASA
Hongera kwa Yanga SC kwa kufanikiwa kuchaguliwa katika tuzo za CAF katika kipengele Cha Timu Bora ya mwaka ni kweli wanastahili sababu katika msimu uliopita…
Hongera kwa Yanga SC kwa kufanikiwa kuchaguliwa katika tuzo za CAF katika kipengele Cha Timu Bora ya mwaka ni kweli wanastahili sababu katika msimu uliopita…
Mabingwa wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly ya Misri wameondolewa kwenye michuano ya African Football League baada ya kutoa…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Zikisalia siku nne tu kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Simba SC na Young Africans, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema…
Joto na presha kubwa ni katika mchezo wa watani wa jadi Jumapili kutokana na namna ambavyo timu zote kwa sasa zimekuwa na matokeo mazuri. Yanga…
Takwimu za ufungaji za Moses Phiri na Jean Baleke katika Ligi Kuu msimu huu wa 2023/24, zinaweza kumuweka mtegoni kocha wa Simba Roberto Oliveira katika…
Katika kuelekea mchezo wao wa Dabi dhidi ya Yanga SC, Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameingia mkataba wa Bil. 1.5 na Kampuni ya Serengeti Breweries…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kitendo cha mvua kunyesha kuelekea kwenye mchezo wao wa dabi, ni ishara nzuri ya…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga ambaye yupo kwenye kiwango bora hivi sasa, Stephane Aziz Ki, amesema amejiandaa kucheza kwa kupaniwa katika Kariakoo Dabi, huku akibainisha kwamba…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Afrika Kusini Skudu Makudubela, ameweka wazi kuwa, hana tatizo lolote na Benchi la ufundi la Young Africans linaloongozwa na Kocha Mkuu,…