SIMBA WAELEKEZA NGUVU ZAO LIGI KUU
Baada ya kuondolewa na Al Ahly ya nchini Misri katika michuano ya African Football League (AFL), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed…
Baada ya kuondolewa na Al Ahly ya nchini Misri katika michuano ya African Football League (AFL), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed…
Imefahamika kuwa Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Moses Phiri hana furaha ndani ya Klabu ya Simba SC, na huenda akaondoka kikosini hapo kama mambo yataendelea kuwa…
Kocha wa Simba Roberto Oliviera ‘Robertinho’, amesema timu yake inacheza kwa malengo ndio maana anazingatia zaidi matokeo uwanjani kuliko kile watu wanachohoji kuhusu timu hiyo.…
Baada ya Stephane Aziz Ki kufunga mabao matatu ‘hat-trick’ katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa…
Kocha wa Simba, Oliviera Robertinho amesema moja ya silaha muhimu alizonazo kwenye kikosi chake ni Kibu Denis ambapo anaweza kumbadilisha kumpa jukumu lolote gumu na…
Kwa vikosi na takwimu zilivyo leo lazima mtu aseme sana kwenye Uwanja wa Mkapa, Yanga itakavyowakabisha Singida kwenye mechi ya Ligi. Dakika 90 za leo…
Kiungo wa Azam Yannick Bangala amefurahishwa na kiwango cha Feisal Salum ‘Fei Toto’ akisema jamaa ameanza kuwa mtamu huku akimpa ushauri juu ya mashabiki wanaomzomea…
UONGOZI wa Yanga, umesema kuwa, umetumia mchezo wa Simba kuwasoma wapinzani wao, Al Ahly ambao watakutana katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.…
Nyota wa Singida Big Stars, Duke Abuya amesema ni muda kwao wa kuonyesha ubora wao mbele ya Yanga kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. “Kila…
Oktoba 25 Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Eng Hersi Said imekaa kikao cha pili cha kikatiba kwa mwaka 2023 kujadili mambo mbalimbali…