MNAHESABU LAKINI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema hataki kuongea lolote kuhusu mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, badala yake ameweka wazi …
Klabu ya CR Belouizdad ya nchini Algeria imethibitisha kumfuta kazi Kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo wa kikosi hicho katika…
Mtangazaji na mchambuzi wa soka Prisca Kishamba, amesema Yanga SC, inakosa aina ya washambuliaji kama waliopo Simba SC. Prisca amesema, laiti ingekuwa na washambuliaji kama…
Kuna John Bocco mmoja tu nchini. Jamaa mmoja mrefu, ‘kauzu’ flani mwenye mzuzu kidevuni. Huyu ndiye nahodha wa Simba akitimiza msimu wa saba akiwa na…
Umebaki muda usiozidi wiki moja ili itimie miezi miwili tangu msimu wa soka wa 2022/2023 uanze hapa nchini na tayari umeshuhudia msisimko na mvuto wa…
Yanga nafasi ya tatu kwa ubora barani afrika kwa mujibu wa Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za Mpira Duniani (IFFHS) pamoja na msimu…
Simba na Yanga zimepangwa na vigogo kwenye makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini nyota wa zamani wa timu hizo wamezipa ujanja ili zitoboe na…
Baada ya Yanga kupangwa kundi “D” ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) ikiwa na Al Ahly, Belouizdad na Medeama Afisa Habari Yanga, Ally Kamwe ameandika…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo