TUCHEL AWAPIGIA SALUTI BALEKE,MAYELE..."WATAFANYA MAKUBWA CAF...AMEZUNGUMZA HAYA
Habari za michezo

KWENYE HILI SIMBA MI BORA KULIKO YANGA

Staff Desk October 8, 2023 4:36 pm

Mtangazaji na mchambuzi wa soka Prisca Kishamba, amesema Yanga SC, inakosa aina ya washambuliaji kama waliopo Simba SC.

Prisca amesema, laiti ingekuwa na washambuliaji kama wa Simba kutokana na ubora wao basi wangekuwa hatari sana.

“Mtakubaliana na mimi Yanga ya Gamondi inakosa washambuliaji hatari kama walionao Simba kwa sasa hivi ,mtu kama Baleke kwa nafasi zilizotengenezwa na Yanga tungekuwa tunazungumza kitu tofauti na hiki tunachokisema sasa “

ALICHOKISEMA INJINIA HERSI BAADA YA YANGA KUPANGWA NA AL AHLY LIGI YA MABINGWA… KAZI IMEANZA CAFCL WAPINZANI WA YANGA WAMTIMUA KOCHA WAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply