NA NYIE NJOONI….SHOO YA HESHIMA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Meridianbet wameibukia Zahanati ya kijitonyama na kama ilivyo kawaida yao haikua shughuli nyingine bali ilikua ni kurudisha kwenye jamii yake inayowazunguka, Ambapo walifanikiwa kutoa vifaa…
Gwiji wa Timu ya Taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’ na TP Mazembe, kiungo fundi Rainford Kalaba ameiunga mkono Power Dynamos kuifunga Simba SC ya Tanzania wikendi…
Dakika 90 za mechi ya ugenini ya Al Merrikh ya Sudan na AS Otoho ya Congo Brazaville zimemshtua Kocha Miguel Gamondi akalazimika kuongeza nguvu ya…
Kikosi cha Power Dynamos kimeingia nchini jana kwa pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba, huku kocha…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kutoka East Africa Radio, Samwel Rashid mwenyewe anajiita Wakanda Republic amesema kuwa Klabu ya Al-Merrikh ya Sudan wamekubali kuwa…
Kocha Mkuu wa Al Merrikh, Osama Nabieh amechimba mkwara mzito kuwa licha ya ubora wa kikosi cha Young Africans, wamejipanga kupindua meza na kutinga hatua…
Kuelekea mchezo dhidi ya Mabingwa wa Soka nchini Zambia Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera amewapa jukumu zito viungo wake. Simba SC…
Nahodha na Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Bakari Mwamnnyeto ameweka wazi kuwa wamekaa kikao cha wachezaji na kukubaliana kwa pamoja kuwa…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo