Latest Posts

Habari za Yanga

HII HAPA NDIO MITEGO MIWILI YA YANGA

Yanga haijaruhusu bao lolote mpaka sasa kwenye ligi na inachofanya ni kuendelea kushusha vipigo vyenye ujazo tofauti lakini mitego miwili inayowapa shida wapinzani imejulikana. Ikiwa…

YANGA MACHO YOTE MAKUNDI CAF

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

Habari za Simba

SIMBA YAWASHANGAZA POWER DYNAMO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wala hauna haja ya kupiga makelele mengi juu ya timu yao na wanachokifanya ni kuendelea kushinda mechi zao bila…

YANGA WASANUKIA MTEGO HUU WA AL MAREIKH

Ofisa Habari wa Yanga, Alikamwe amedai kuwa wapinzani wao Al Merrikh wameanza kuwasifu kuwa Wananchi wanaogopeka Afrika wao wamesoma Cuba wanajua huo ni Mtego “Tumesikia…