HIVI NDIVYO MZIMU WA NABI UNAVYOMTESA GAMONDI
Inawezekana mashabiki wa Yanga wanafurahi lakini hakuna mtu mwenye presh kubwa kama Gamondi kwa sababu mtangulizi wake [Nabi] kafanya vitu vikubwa ambavyo Gamondi anapambana kuvifikia.…
Inawezekana mashabiki wa Yanga wanafurahi lakini hakuna mtu mwenye presh kubwa kama Gamondi kwa sababu mtangulizi wake [Nabi] kafanya vitu vikubwa ambavyo Gamondi anapambana kuvifikia.…
Kwa sasa hapa nchini Ibrahim Bacca ni miongoni mwa mabeki bora wa kati wa Ligi Kuu na hata ukiweka orodha ya mabeki watatu bora basi…
Mpira wa miguu kilele chake huwa ni ushindi (kupata alama tatu au kwenye mashindano ni kufuzu hatua inayofuata), kwenye Ligi tumechukua alama tatu dhidi ya…
Kikosi cha Yanga kimerudi uwanjani kujifua baada ya kutoka kucheza mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliyoamua kucheza nusu uwanja ili kuzuia…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amethibitisha kuwa ni kweli beki wao Che Malone Fondo amepata ajali leo Septemba 25 alfajiri akiwa anatoka…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amevuruga ramani za wapinzani wake wanaofikiria mbinu yake ya kupata mabao itakuwa kwa washambuliaji pekee wanaonza kikosi cha kwanza…
Mlinzi wa Simba SC, Che Fondon Malone ameripotiwa kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Shule ya Feza Mikocheni wakati akitokea Airport…
Ee bwana ee Jumapili hii ni kivumbi na Jasho kwani kutakua na mbungi kali sana pale dimba la Emirates ambapo itakutanisha vilabu viwili ambavyo ni…
Beki wa Simba SC, Henock Inonga ametoka hospitalini baada ya kujeruhiwa kwenye mchezo wa juzi Alhamis (Septemba 21) huku kocha wake akitikisa kichwa na akisema…
KIUNGO wa Yanga, Mudathir Yahya amefichukua sababu kubwa iliyopelekea afunge bao pekee katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo ni kutokana na kufuata…