BAADA YA KUPANDISHWA CHEO JESHINI….HILI HAPA ‘DENI’ LA BACCA NDANI YA YANGA…
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao kwa sasa…
Browse all posts in this category.
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, Ibrahim Bacca deni lake la mabao kwa sasa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud, amepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na wachezaji wake kuhakikisha wanapata matokeo mazuri uwanjani, akisisitiza kuwa hali hiyo…
MECHI ya watani wa jadi, Yanga na Simba maarufu kama Dabi ya Kariakoo, imeota mbawa baada ya kuahirishwa na Bodi ya Ligi…
MASHABIKI wa Simba wanachekelea hatua ya mchezo dhidi ya Yanga kuahirishwa, wanawatambia wenzao wa Yanga, kwamba mechi itapangwa, mtapigiwa simu moja tu…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud, ameweka wazi kuwa mshambuliaji wao mpya, Jonathan Ikangalombo, yupo katika hali nzuri na anaamini atakuwa msaada…
KIUNGO mshambuliaji nyota wa Yanga, Stephane Aziz KI na beki wa kushoto wa Simba, Valentin Nouma, wametemwa katika kikosi cha timu ya…
KIKOSI cha Yanga SC kinashuka dimbani kesho katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, kupambana na Coastal Union kwenye hatua ya 32 bora…
KLABU ya Yanga imeonyesha nia ya kuwasajili wachezaji watatu kutoka Singida Black Stars katika dirisha kubwa lijalo la usajili. Wachezaji hao ni…
PALE Yanga kuna mastaa kibao wanaowaka kwa sasa wakipambana kulisaka taji la nne mfululizo la Ligi Kuu Bara msimu huu, huku wakiweka…
YANGA ni wajanja sana na kwa kijiweni kuna kauli yetu unatakiwa uwe umesoma Cuba ili uweze kuwashtukia walivyo na hesabu ndefu na…
Beki wa Yanga SC, Chadrack Boka, amefichua siri ya kiwango chake bora uwanjani, akisema kuwa kufuata maelekezo ya kocha wao, Hamdi Miloud,…
VINARA wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Yanga Februari 28 2025 watakuwa kibaruani kusaka pointi tatu dhidi…