Michezo Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Bongo

SIMBA INAFANYA VITENDO SIO MANENO, MANGUNGU

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amesema maandalizi ya timu hiyo yanaendelea vizuri huku hatua zote muhimu zikifanyika kwa kuzingatia mpango…

Jan 15, 2026
Michezo Bongo

FERUZ WA SIMBA AREJEA LIGI KUU

KIPA wa zamani wa Simba, Ahmed Feruz amerejea katika Ligi Kuu Bara baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuidakia Namungo akitokea…

Jan 15, 2026
Michezo Bongo

WAGOSI WAPO TAYARI KWA VITA LIGI KUU

KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema wachezaji wa timu hiyo wapo tayari kuendeleza vita na ushindani mechi za Ligi Kuu…

Jan 15, 2026
Michezo Bongo

PHIRI AKWAMBA ULAYA AIBUKIA ZIMBABWE

MSHAMBULIAJI nyota wa Singida Black Stars, Mzambia Andrew Phiri amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Hard Rock FC inayoshiriki Ligi Kuu Zimbabwe, baada…

Jan 15, 2026
Michezo Bongo

MPANZU ATANGAZA HATARI JUMAPILI

NYOTA wa Simba SC, Elie Mpanzu, ameonyesha kiwango kikubwa cha hamasa na ari ya kupambana kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania…

Jan 15, 2026
Michezo Bongo

MBWA MWITU AINGIA RASMI NDANI YA YANGA

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Radomiak Radom ya Poland, Laurindo Dilson Maria Aurelio maarufu kwa jina la Mbwa Mwitu (Depu), ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji…

Jan 15, 2026
Michezo Bongo

SIMBA WAINGIA SOKONI KUSAKA KIMYA MPYA

UONGOZI wa klabu ya Simba umeingia sokoni kutafuta kipa mwingine wa kuziba pengo lililosababishwa na majeraha ya makipa wao Moussa Camara na…

Jan 15, 2026
Michezo Bongo

OKELLO ANA MZUKA YANGA, AANZA KAZI GYM

HAKUNA kulala, hilo ndilo neno linaloelezea mwanzo wa safari ya mshambuliaji mpya wa Yanga, Allan Okello, ambaye tayari ameanza rasmi mazoezi na…

Jan 15, 2026