SIMBA WAZIDI ‘KULAMBA ASALI’ YA MAMILIONI KUTOKA SportPesa…BARBARA AFANIKISHA TENA…
Kampuni ya SportPesa imewakabidhi Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Shilingi Milioni 50 kama zawadi ya klabu hiyo kufika Hatua ya Robo Fainali…
Browse all posts in this category.
Kampuni ya SportPesa imewakabidhi Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Shilingi Milioni 50 kama zawadi ya klabu hiyo kufika Hatua ya Robo Fainali…
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedrick Kaze amesema anashangazwa na mashabiki wa soka wanaombeza straika wa timu hiyo, Fiston Mayele baada ya kushindwa…
TAJIRI ametua. Wiki iliyopita wakati mechi ya Chelsea na Wolves inaendelea, upande wa jukwaa la VIP, kamera zilikuwa zikimuonyesha bilionea ambaye yupo…
SIMBA usiku wa juzi ilikuwa uwanjani kumalizana na Ruvu Shooting, huku mabosi wake wakianza hesabu mpya kwa ajili ya msimu ujao, ikiwaweka…
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Fredrick Mwakalebela amewatoa hofu mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kuwa hakuna tatizo kwenye klabu hiyo…
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Borussia Dortmund raia wa Norway Erling Braut Haaland amefuzu vipimo vya afya tayari kujiunga na klabu Ligi Kuu…
Beki wa kushoto kutoka nchini Uganda Mustapher Kiiza anatajwa kukaribia kujiunga na Klabu ya Young Africans, ambayo imejizatiti kufanya usajili kabambe kwa…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC Barbara Gonzalez ameanika mipango na mikakati ya usajili kuelekea mwishoni mwa msimu huu, tayari kwa msimu…
Dakika 90 zimemalizika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa huku ukishuhudiwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga na Tanzania Prisons…
MJADALA umeendelea kuwa mkali sana kwenye vituo vya redio, televisheni, mitaani, hasa kwenye vijiwe vya kunywa kahawa, mipira, vituo vya wauza magazeti,…
Kiungo Mshambuliaji wa Ruvu Shooting Abdul-Swamadu Kassim amesema bado ana ndoto za kurudi Simba SC, baada ya kuondoka kwenye klabu hiyo wakati…
Mshindi wa pili Miss Utalii Tanzania 2021, Judith Ngusa, usiku wa kuamkia leo, ameibuka mshindi wa kwanza katika fainali za dunia za…