BAADA YA KUPEWA MECHI YA KWANZA….GAMONDI ASHINDWA KUJIZUI KUHUSU GUEDE….
YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho kuivaa Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara, ikiwa ni saa chache tangu ilipotoka suluhu ugenini…
Browse all posts in this category.
YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani kesho kuivaa Dodoma Jiji katika mechi ya Ligi Kuu Bara, ikiwa ni saa chache tangu ilipotoka suluhu ugenini…
MICHUANO ya Mataifa ya Afrika (AFCON) inaendelea kushika kasi nchini Ivory Coast ambapo kwa sasa imefikia hatua nzuri zaidi na ya kuvutia…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Saleh Karabaka amekuwa na mwanzo mzuri ndani ya kikosi hicho, jambo linalowapa imani wakongwe wa soka kuamini kwamba…
TFF imeinyang’anya klabu ya JKT Queens alama 5 na faini Tshs 3,000,000/= baada ya kugomea mchezo dhidi ya Simba Queens uliokuwa ufanyike…
Fowadi mpya wa Azam FC, Franklin Navarro aliyesajiliwa kutoka Amerika ya Kusini, amesema yupo tayari kuanza mikiki ya Ligi Kuu Bara, licha…
Tarehe 21 Desemba 2023 Sekretarieti ya Klabu ya Simba kupitia Afisa Mtendaji Mkuu wake (CEO) ilitoa taarifa kwa umma kwamba klabu yao…
Mashabiki wa Yanga wanatamba kama kuna mtu imara katika ukuta wa kumlinda kipa Djigui Diarra, anayesubiri kucheza robo fainali ya Afcon, basi…
Magwiji wawili ndani ya kikosi cha Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wameibeba mechi ya Simba SC kuelekea kwenye mchezo…
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea hii leo huku meridianbet wakikwambia kuwa na wewe una nafasi ya kuendelea kukusanya mpunga ambao wanautoa kila siku.…
WAKIWA na kikosi cha kazi kilichotoka kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tembo FC, wameshuhudia ubao ukisoma Mashujaa 0-1 Simba. Bao…
Mshambuliaji Moses Phiri aliyetangazwa kutemwa Simba katika dirisha dogo ili kupisha mastaa wapya wa kigeni kutua Msimbazi, ameibukia Power Dynamos ya Zambia…
Kikosi cha Simba tayari kimeshatua mjini Kigoma tayari kwa maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa leo dhidi ya Mashujaa, huku…