GWARIDE LA UBINGWA YANGA LAWA GUMZO AFRIKA…MITANDAO MIKUBWA YALIPA UZITO…WAARABU WAPAGAWA…
UMATI wa mashabiki uliojitokeza juzi Jijini Dar es Salaam kuwapokea Yanga umeishtua Afrika. Mitandao na wadau wakubwa wa soka la Afrika wameshtushwa…
Browse all posts in this category.
UMATI wa mashabiki uliojitokeza juzi Jijini Dar es Salaam kuwapokea Yanga umeishtua Afrika. Mitandao na wadau wakubwa wa soka la Afrika wameshtushwa…
AWALI kulikuwa na tofauti kati ya Mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi Simba, Kassim Dewji na viongozi wengine wa ngazi ya juu kwenye…
MSHAMBULIAJI wa Geita Gold, George Mpole ameibuka kinara wa ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22, baada ya kufikisha…
WAMILIKI wapya wa Chelsea wakiongozwa na bilionea Todd Boehly, wameifumua bodi ya timu hiyo wakifukuza kazi vichwa kibao akiwemo gwiji Petr Cech,…
Baada ya kutofautiana kimawazo na kufikia hatau ya baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurungenzi Simba SC kususia vikao, imeripotiwa kuwa Mwenyekiti…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umetoa ufafanuzi wa kumpa mkataba wa Mwaka mmoja Mwaka mmoja Kocha Mkuu Mpya wa kikosi chao…
ILE vita ya nani atasepa na kiatu cha ufungaji bora kilicho mikononi mwa John Bocco nahodha wa Simba itajulikana rasmi leo Juni…
Bodi ya Ligi Tanzania Bara ‘TPLB’ imetoa ufafanuzi wa tuzo ya Mfungaji Bora kwa msimu wa 2021/22, ambao utafikia tamati leo Jumatano…
Tunausindikiza mwezi Juni kwa namna ya kipekee, kupitia usiku maalumu unaowaleta pamoja wakali wa vichekesho kutoka Tanzania, Uganda na Nigeria. Ni marudio…
Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Sunday Manara amesema klabu ya Yanga imewahi kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu mara tatu (3) bila…
Kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amesema wana kila sababu ya kuchukua pointi tatu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Mtibwa…
Klabu ya Simba siku ya jana ilimtambulisha Zoran Maki Manojlovi, raia wa Serbia kuwa kocha wao mkuu ambaye anakuja kurithi mikoba ya…