Burudani

KAMA ULIUKOSA USIKU WA MAKOROKOCHO..BASI USIKONDE KESHO TEGESHA JICHO DStv ….MSELELEKO NI ULE ULE…

admin June 29, 2022 10:37 am

Tunausindikiza mwezi Juni kwa namna ya kipekee, kupitia usiku maalumu unaowaleta pamoja wakali wa vichekesho kutoka Tanzania, Uganda na Nigeria.


Ni marudio ya usiku wa Makarokocho Alhamis hii ambapo kwenye stage watakuwepo, Origino Comedy, Deogratious, Munga pamoja na Mzee Shayo kutoka Watu Baki bila kumsahau Salvador kutoka Uganda na Kevin Pam kutoka Nigeria.

Show nzima kuruka Live kupitia chaneli ya Maisha Magic POA 144, inayopatikana Ndani ya kifurushi cha Poa 9,900/=
Piga *150*53# kulipia kwa urahisi.
KUHUSU KLABU ZILIZOBEBA UBINGWA BILA KUFUNGWA…MANARA AIBUKA NA REKODI ZAKE…AIWEKA YANGA MBELE… BODI YA LIGI: IKIWA WATALINGANA KWA MAGOLI…MAYELE ATAKABIDHIWA TUZO YA MFUNGAJI BORA NA SIO MPOLE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply