WAKATI MABOSI SIMBA WAKIJADILIANA KUMRUDISHA KICHUYA…BABA YAKE AWAKATALIA…ATAKA AENDE YANGA…
WAKATI ikitajwa kwamba mabosi wa Simba wanalijadili jina la Shiza Ramadhan Kichuya kwenye usajili wao msimu ujao, baba mzazi wa kiungo huyo,…
Browse all posts in this category.
WAKATI ikitajwa kwamba mabosi wa Simba wanalijadili jina la Shiza Ramadhan Kichuya kwenye usajili wao msimu ujao, baba mzazi wa kiungo huyo,…
Kocha Mkuu wa Young Africans Nesreddine Nabi amezidisha ukali kwa wachezaji wake ambapo amewataka kupambana na kufikiria kama wanaanza msimu ili kupata…
KIUNGO mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Gabadinho Mhango ameweka wazi kuwa anatarajia kuondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu…
YANGA imeonekana kupania kufanya usajili bora utakaokuwa tishio kimataifa baada ya kumfuata mshambuliaji wa US Gendarmarie ya nchini Niger, Victorien Adebayor ambaye…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo Franco, ameamua kubadili mbinu kuhakikisha kikosi chake kinarudisha furaha kwa mashabiki na kumaliza msimu vizuri, huku…
TIMU ya DTB imefanikiwa kupanda Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba,…
BAADA ya siku 294 ambazo ni sawa na miezi tisa na siku 21 hatimaye kinara wa mabao msimu uliopita John Bocco, amefunga…
Kiungo kutoka visiwani Zanzibar na klabu ya Young Africans Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema msimu huu ana uhakika wa kumaliza kiu yake…
KOCHA wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa amewatuliza mashabiki wa timu hiyo akiwaambia wasiogope, kwani anaamini nidhamu itawapa pointi tatu leo dhidi ya…
KIKOSI cha Yanga kinapambana kujimilikisha taji la Ligi Kuu msimu huu, huku ikiwa tayari na tiketi ya michuano ya CAF msimu ujao…
WIKI chache baada ya kuing’oa Simba kwenye robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini imemtangazia…
WINGA kutoka Senegal, Pape Ousmane Sakho, amewagawa mabosi wa Simba baada ya Waarabu kutoka Sudan kutoa ofa ya donge nono ili kumng’oa…