VPL: SIMBA V YANGA, UWANJA WA MKAPA
MASHABIKI wa Simba v Yanga wamejitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Mkapa kushuhudia dabi ya kukata na shoka ambayo iliyeyuka Mei 8.…
Browse all posts in this category.
MASHABIKI wa Simba v Yanga wamejitokeza kwa wingi leo Uwanja wa Mkapa kushuhudia dabi ya kukata na shoka ambayo iliyeyuka Mei 8.…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu leo ni miongoni mwa Watanzania ambao wanashuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara…
DEAL done, Mtanzania Mbwana Samatta amemalizana na klabu ya Fenerbahçe ya Uturuki, amesaini mkataba wa miaka mitatu (2021-2024) baada ya kuichezea kwa…
KAMATI ya Waamuzi wa Ligi Kuu Bara, imeweka wazi sababu za kurudia majina ya waamuzi waliopangwa kuchezesha mchezo wa Kariakoo unaotarajiwa kupigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.…
LEO Julai 3, Uwanja wa Mkapa saa 11:00 jioni unatarajiwa kuchezwa mchezo wa ligi kati ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier…
TIMU ya taifa ya Italia imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali katika Euro 2020 kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ubelgiji…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
KOCHA Frolentine Ibenge ameachana na Klabu ya AS Vita huku Rais wa klabu Bestine Kazadi akithibitisha. “Ndugu mashabiki, ninatangaza kuondoka kwa kocha…
NYOTA wa Simba Bernard Morrison, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month).…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
ORODHA ya wasimamizi pamoja na mapilato wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba v Yanga, Julai 3, Uwanja wa Mkapa.