news

RAIS SAMIA UWANJA WA MKAPA KUSHUHUDIA SIMBA V YANGA

admin July 3, 2021 2:47 pm


 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu leo ni miongoni mwa Watanzania ambao wanashuhudia mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Yanga.

Samia mwenye sera ya kazi iendelee ni moja ya viongozi ambao wanapenda michezo na kuona matokeo chanya katika kila jambo.

Hivyo leo anakuwa pamoja na Watanzania kushuhudia mchezo wa dabi ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Mashabiki wengi wamejitokeza Uwaba wa Mkapa kushuhudia mchezo wa leo ambao umeanza kwa kasi.

VPL: SIMBA V YANGA, UWANJA WA MKAPA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply