HALI YA BOCCO YAZIDI KUSIKITISHA SIMBA…KACHEZA MECHI 14 BILA KUCHEKA..
MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco hajafunga bao ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22 katika mechi 14 ambazo amecheza. Ikumbukwe kwamba Bocco…
Browse all posts in this category.
MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco hajafunga bao ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22 katika mechi 14 ambazo amecheza. Ikumbukwe kwamba Bocco…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Alhamisi
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra leo Alhamisi
Bao la Kiungo Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Pappe Ousmane Sakho alilolifunga dhidi ya ya RS Berkane ya…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema hawana shaka na kikosi chao katika michuano ya Kombe…
Mshambuliaji wa Namungo FC Reliant Lusajo amewajibu baadhi ya Wadau wa Soka la Bongo ambao wamekua wakihoji ubunifu wa ushangiliaji pale anapoifungia…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kupitia mchezo wa Hisani kati ya Yanga vs Timu ya Taifa ya Somalia ni…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco wameanza mazoezi ili kuweza kujiweka sawa kwa mechi…
NYOTA wa kikosi cha Yanga Princes, Aisha Khamis Masaka amepata dili la kucheza soka la kulipwa katika Klabu ya BK Hacken FF…
LAZIMA kieleweke, Simba ya mwaka huu haitaki kuacha chochote. Yaani baada ya kutwaa Kombe la Mapinduzi kule Zanzibar, Wekundu wa Msimbazi wanalitaka…
SIMBA imerudi kileleni katika msimamo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiongoza kundi D baada ya juzi kuichapa RS…
FISTON Mayele anatisha nyie acheni tu. Karibu kila timu aliyokutana nayo ameitungua na alianza na Simba kwenye Ngao ya Jamii, akawapiga Azam,…