News

HALI YA BOCCO YAZIDI KUSIKITISHA SIMBA…KACHEZA MECHI 14 BILA KUCHEKA..

admin March 17, 2022 8:11 am


MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco hajafunga bao ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22 katika mechi 14 ambazo amecheza.

Ikumbukwe kwamba Bocco ni mshambuliaji na ana kibarua cha kutetea kiatu bora ambacho alitwaa baada ya kufunga mabao 16 na asisti mbili msimu wa 2020/21.

Msimu huu mambo yamekuwa magumu kwa nyota huyo mzawa ambaye amecheza mechi 14 na kuyeyusha dakika 617 uwanjani.

Kinara wa utupiaji Simba kwenye mabao 21 ambayo wamefunga ni Meddie Kagere mwenye mabao 6 na pasi moja ya bao

NABI ALETA STAILI YA MOURINHO YANGA…TRY AGAINI ATAJA WANNE WAPYA SIMBA..ADEBAYOR NDANI… WAKATI WATU WAKIFIRI NI ‘NDUMBA’ ZA MAYELE….NABI AANIKA SIRI YA KUPENDA KUMTUMIA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply