RASMI…AZAM FC WANYOOSHA MIKONO JUU UBINGWA WA LIGI KUU…WAFUNGUKA SABABU YA NDOTO KUYEYUKA…
Klabu ya Azam FC imejitoa Rasmi katika mbio za Ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2021/22, baada ya kuangusha alama 08 katika…
Browse all posts in this category.
Klabu ya Azam FC imejitoa Rasmi katika mbio za Ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2021/22, baada ya kuangusha alama 08 katika…
Mlinda Lango na Nahodha wa KMC FC Juma Kaseja amesema kikosi chao hakikucheza vizuri dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa…
Licha ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Young Africans katika mchezo wa Mzunguuko wa 17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wachezaji…
KATIKA kuhakikisha timu yao inafuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, uongozi wa Simba SC umefanya kikao na wachezaji…
Kuelekea mchezo wao wa Jumapili hii dhidi ya RS Berkane ya Morocco kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo…
KASI ya Fiston Mayele katika ufungaji mabao msimu huu imemuibua kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ambaye ameweka wazi kuwa staa huyo…
VIONGOZI wa Simba wanaamini kuwa ubingwa wa ligi kuu bado ni mali yao na hakuna namna yoyote ya timu nyingine kuchukua ubingwa…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo Jumanne.
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra leo Jumanne
Kocha Msaidizi wa Dodoma Jjji FC Mohamed Muya amewaomba radhi viongozi na mashabiki wa klabu hiyo, kufuatia kupoteza mchezo wa Mzunguuko wa…
Benchi la Ufundi la Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC limetoa pongezi kwa wachezaji wake kwa kufanikisha ushindi wa mabao 2-0…
MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele akiwa ametupia mabao 10 kibindoni na pasi tatu za mabao amekabidhiwa zawadi ya ng’ombe…