news

MAYELE AZIDI KUJAZWA NG’OMBE MIKOANI…APEWA MWINGINE MNONO…BUMBULI ATAJA NA MADAFU…

admin March 7, 2022 6:00 pm

MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya Yanga, Fiston Mayele akiwa ametupia mabao 10 kibindoni na pasi tatu za mabao amekabidhiwa zawadi ya ng’ombe mwingine tena baada ya ile ya kwanza kupewa alipokuwa Moro alipowatungua Mtibwa Sugar.

Pia Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wengine wamepeleka samaki,madafu pamoja na zawadi mbalimbali.

HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOTUA DAR KIBABE…HAWATAKI ‘KOKORO NA MTU YANI’… KIBOOSIII KABISA…. PAMOJA NA KUICHAKATA DODOMA JIJI LEO…MATOLA AIBUKA NA HILI SIMBA..ADAI WALILAZIMISHA MAKOSA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply