ZA NDAI KABISA…KISA MSHERY..MTIBWA KUISHITAKI YANGA …WALIA KUTOLIPWA HATA ‘NDURURU’ YA MAUZO…
Wakati Yanga wanakubaliana uhamisho wa Kinda Aboubakary Mshery kutoka Mtibwa, walitaka kulipa ada ya uhamisho kwa mikupuo miwili (installments) Mtibwa walisema wazi…