news

ILE ISHU YA STRAIKA HATARI WA SIMBA QUEENS KWENDA ULAYA IKO HIVI…UONGOZI WAFUNGUKA…

admin March 6, 2022 8:10 am


STRAIKA na kinara wa mabao wa Simba Queens, Opah Clement, usiku Machi 4 alipaa kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kujiunga na timu ya Yikatel Kayseri inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini humo.

Meneja wa kikosi hicho, Selemani Makanya, amethibitisha, juu ya straika huyo kuondoka kikosini humo baada ya Waturuki hao kutuma barua ya kumhitaji.

“Ni kweli Yikatel Kayseri iliwasilisha barua ya kuhitaji huduma ya Opah Clement na ameelekea nchini uturuki kujiunga nao.”

Opah ndiye kinara wa mabao ndani ya Simba Queens kwa msimu huu akifunga mabao 19, pia akiiacha timu hiyo ikiongoza kwenye msimamo wa ligi kuu ikiwa na pointi 33.

BEKI AFUNGUKA NAMNA CHAMA ANAVYOTISHA..AELEZA MATESO ALIYOYAPATA..NABI NA YANGA YAKE LEO BILA AUCHO NA DJUMA… WIKI MOJA KABLA YA KUNG’ATANA TENA NA SIMBA DAR…KISINDA KAONA ISIWE TABU…KAFUNGUKA HAYA MAPYA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply