SIMBA YAIZIDI UJANJA BERKANE…KOCHA YANGA AITABIRIA MAKUBWA…ADEBAYOR KUMCHOMOA MUGALU SIMBA…
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Spoti Xtra leo Alhamisi
Browse all posts in this category.
Pitia Ukurasa wa Mbele wa gazeti la Spoti Xtra leo Alhamisi
USHINDI wa mabao 2-0 waliopata Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar unaifanya timu hiyo kuendeleza rekodi yake ya mwisho ya ushindi katika uwanja…
BAADA ya kuzitazama rekodi zake anapocheza naSimba, Kocha Mkuu wa RS Berkane, Florent Ibenge, amekiri kukutana na upinzani mkali dhidi ya timu…
WAKATI Simba SC ikiambulia pointi moja mbele ya US Gendarmerie juzi Jumapili, ilifanya umafia kwa kuzungumza na wakala wa kiungo mshambuliaji wa…
TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na mwenendo mbovu…
MECHI ya kisasi! Ndivyo utakavyosema katika kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaozikutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga utakaopigwa leo saa 10:00…
ZA NDAANI kabisa ambazo hazina chembe ya shaka ni safari inamkuta Bernard Morrison ndani ya Simba hata afanyeje. Ni kwamba Mzambia, Moses…
VIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho na Yanick Bangala wameundiwa tume mapema na Mtibwa Sugar kuhakikisha hawaendi kusumbua kwa kutumia uzoefu wao kwenye…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’ amesema kwa mikakati ya usiri kambini, umoja na ushirikiano uliopo,…
L ICHA ya kikosi chake kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Prisons, Kocha Mkuu Ruvu Shooting, Charles Mkwasa, amefunguka…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amepanga kumtumia kiungo wake, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kama njia rahisi ya kupata ushindi dhidi ya…
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco Martin raia wa Hispania, amefunguka kuwa wachezaji wake walikutana na hali ngumu wakiwa Niger kiasi cha…