news

HUU HAPA UKWELI KUHUSU SABABU YA MAKATA KUTIMULIWA DODOMA JIJI…

admin February 23, 2022 3:17 pm


TAARIFA rasmi kutoka kwenye klabu ya Dodoma Jiji, imethibitisha kumfungashia virago, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mbwana Makata kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.

Ndani ya michezo mitano iliyopita, Makata alijikuta akiongoza Dodoma Jiji kuambulia pointi moja tu dhidi ya Geita Gold na kukumbana na vipigo vinne, ikiwemo vitatu mfululizo ambavyo ni kama vilikoleza kuota nyasi kwa kibarua chake makao makuu ya nchi.

Taarifa rasmi iliyotolewa leo, Jumatano imeeleza kuwa,”Hatua hizi zimechukuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo ya timu katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.”

SEKUNDE CHACHE KABLA YA MECHI…NABI AWABADILISHIA MTIBWA GIA ANGANI..ALIA NA UWANJA WA MANUNGU.. RASMI..ADEBAYOR KUTUA SIMBA…MO DEWJI APEWA FAILI LAKE…THAMANI YAKE NI 468  MILIONI..TYR AGAIN AFUNGUKA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply