Yanga SC

Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.

Post thumbnail placeholder
Yanga SC

ISHU YA NIDHAMU, LAMINE NA YANGA WAITWA

 MWENYEKITI wa Chama cha Wachezaji Tanzania (Sputanza), Mussa Kissoky amesema kuwa wanawakaribisha Yanga na Lamine Moro mezani kujadili matatizo yao. Hii ni baada ya Lamine kutoa malalamiko ya kudaiwa na klabu yake kuwa ana utovu wa nidhamu.…

Jun 6, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA KUTOA MILIONI 100 KUMPATA MAKAMBO

IMEELEZWA kuwa kikosi cha Yanga kinatarajia kumwaga kiasi kisichopungua Sh milioni 100 ili iweze kumsajili tena aliyekuwa mshambuliaji wao, Heritier Makambo.   Yanga inatakiwa kulipa kiasi hicho ili…

Jun 6, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

INJINIA HERSI: MANJI AKIJA TU..MMEISHA

HERSI Said amewaambia Yanga kwamba kama kweli Yusuf Manji akirejea Jangwani kikosi hicho kitatisha. Hersi ambaye kitaaluma ni injinia akiiwakilisha GSM ambao…

Jun 6, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

ISHU YA NIDHAMU YANGA BADO PASUA KICHWA

 ISHU ya wachezaji wenye utovu wa nidhamu kwenye timu ya Yanga inayowahusu Lamine Moro, Michael Sarpong na Metacha Mnata, bado imekuwa ngumu baada ya kubainika kwamba…

Jun 5, 2021