Yanga SC Yoikandamiza Coastal Union 4-1 na Kurejea Kileleni Ligi Kuu Bara
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC, wameendeleza kasi yao ya ushindi baada ya kuipa kipigo kizito Coastal Union cha mabao…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC, wameendeleza kasi yao ya ushindi baada ya kuipa kipigo kizito Coastal Union cha mabao…
Baada ya kusubiri kwa siku 1,193—sawa na miaka mitatu, miezi mitatu na siku tano—hatimaye Polisi Tanzania imejipatia ushindi wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu ya…
Winga hatari raia wa Burundi, Jean Claude Girumugisha, ameacha milango wazi ya kujiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, siku zijazo licha…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, leo wanashuka kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam kuwakabili Coastal Union ya…
KIUNGO machachari wa Simba SC, Ibrahim Jabaar, ameonyesha kiwango cha juu cha ukomavu na profeshenali baada ya kukubali kuwajibika kikamilifu kufuatia kadi nyekundu aliyoonyeshwa katika…
Mambo yamekuwa motomoto Hospitali ya Kigogo baada ya Meridianbet kufikisha msaada wa viti vya magurudumu kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wenye uhitaji maalum. Kupitia programu yake…
Je unajua kuwa unaweza ukapiga pesa na Meridianbet leo?. Timu kibao zenye Odds kubwa zipo kwaajili yako, ingia na usuke jamvi sasa. Kule Saudi Arabia…
MANCHESTER, Uingereza – Kiungo machachari wa Atalanta, Ederson, amefichua kuwa mpaka sasa hajui sababu halisi iliyofanya uhamisho wake wa kujiunga na Manchester United uvunjike mapema…
MIAMI, MAREKANI – Mshambuliaji mahiri Lionel Messi amezidi kuandika historia kwenye ulimwengu wa soka baada ya kufikisha rasmi mabao 922 katika maisha yake ya soka…
MUNICH, UJERUMANI: RB Leipzig ilianzishwa mwaka 2009—wakati huo, mmoja wa wachezaji wake wa hivi karibuni kuuzwa kwa mamilioni ya fedha, Yan Diomande, akiwa na umri…