Mjasiriamali wa Morogoro Ajishindia Bajaj Kupitia Kampeni ya Bahati Nasibu ya Taifa ya Kuwa Mchezoni Ushinde!
MOROGORO, Tanzania — Alex Kagesya, mjasiriamali kutoka Morogoro, sasa ni mmiliki wa Bajaj mpya baada ya kushinda kupitia kampeni ya Bahati Nasibu ya Taifa ya Kuwa…