Uwanja wa Mao Zedong Waingiza Sh47.4 Milioni Ndani ya Miezi Mitatu Zanzibar!
ZANZIBAR – Baraza la Jiji Zanzibar limefanikiwa kukusanya jumla ya Sh47.4 milioni kutokana na shughuli mbalimbali zilizofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong, mjini Unguja, katika…