Ronaldo na Messi Kucheza Timu Moja? Carlos Tevez Aandaa Mchezo wa Aina Yake La Bombonera
BUENOS AIRES, ARGENTINA — Mastaa wawili wakubwa wa soka duniani katika kizazi hiki, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, wanatarajiwa kuandika historia mpya kwa kucheza timu…