Twanga Pepeta Kutua Mwanza: Bella, Nyoshi na Phina Kuwasha Moto Rock City Mall!
MAJINA makubwa kwenye kiwanda cha muziki wa dansi na burudani nchini yanatarajiwa kuweka historia mpya jijini Mwanza, wakati bendi kongwe ya Twanga Pepeta itakapofanya shoo…