Latest Posts

Habari za Michezo leo

YANGA ISIWACHUKULIE POA AL AHLY

Wale Al Ahly hawajaisha kihiiivyo kama ambavyo watu hapa kwetu wanaaminishana wakati huu ambao mechi yao dhidi ya Yanga inakaribia kupigwa kesho Kwa Mkapa. Tatizo…

SIMBA SIO KINYONGE ATUA BOTSWANA KIFALME

Wekundu wa Msimbazi Simba SC tayari wamewasiri nchini Botswana tayari kwa ajili ya kupepetana na Jwaneng Galaxy hapo kesho Desemba 2, 2023. Simba wamewasiri wakiwa…

MASTAA YANGA WAIPIGA MKWARA MZITO ALAHLY

Beki wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Dickson Job amesema kupoteza kwao dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria haina maana kwamba wametoka kwenye…