Habari za Michezo leo
Habari za michezo

AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA DIMBA

Staff Desk November 30, 2023 12:27 pm

Ofisa Habari na mawasiliano wa Al Ahly, Gamal Gabr amesema timu hiyo itatua nchini leo na wachezaji 25 huku nyota watatu Taher Mohamed, Antony Modeste na Mahmoud Metwaly wakiwa kwenye hatihati ya kuukosa mchezo dhidi ya Yanga wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Timu hizo zilizopo Kundi D zinakutana katika mchezo huo utakaopigwa saa 1:00 usiku huku Al Ahly ikitoka suluhu katika mechi iliyopita ya Ligi Kuu ya Misri dhidi ya Smouha na kufikisha pointi 14 nyuma ya vinara Pyramids yenye pointi 16.

Yanga inahitaji ushindi ili kufufua matumaini ya kundi hilo kwani baada ya hapo itakwenda Ghana.

BOCCO MAMBO SIO MAMBO SIMBA,MGUU NJE MGUU NDANI…. ISHU KAMILI IKO HIVI WADAU WA SOKA LA BONGO WATAKA KOCHA MPYA WA SIMBA APIMWE HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

2 responses to “AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA DIMBA”

  1. mjungu says:

    Comment:lets spare some comments for 2morrow is also a day,football is dynamic,

  2. mjungu says:

    Comment:acha waje ALHALLY yanga watafunga mdomo baada ya 2\12\

Leave a Reply