Habari za Simba SC
Habari za michezo

BOCCO MAMBO SIO MAMBO SIMBA,MGUU NJE MGUU NDANI…. ISHU KAMILI IKO HIVI

Staff Desk November 30, 2023 12:24 pm

Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.

Kapteni John Bocco inatajwa hayupo kabisa kwenye mipango ya klabu ya Simba baada ya mkataba wake kumalizika.

Mpaka hivi sasa tayari klabu imempa taarifa kuwa itaachana nae hivi karibuni.

Simba inamtazama John Bocco kuwa miongoni mwa washauri wa timu hiyo baada ya mkataba wake wa utumishi kwa Wekundu wa Msimbazi kumalizika,

Simba inasubiri ripoti ya Bocco mwishoni mwa mwezi ujao kama atakubali wadhifa huo ama laaah.

WAFCON KUTIMUA VUMBI LEO, TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA DIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “BOCCO MAMBO SIO MAMBO SIMBA,MGUU NJE MGUU NDANI…. ISHU KAMILI IKO HIVI”

  1. Ibrahim Christopher says:

    Habari

Leave a Reply