Habari za michezo

WAFCON KUTIMUA VUMBI LEO, TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI

Staff Desk November 30, 2023 10:31 am

TIMU ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) leo inashuka dimbani katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanawake(WAFCON 2024) .

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mchezo wa marudiano utafanyika Togo Desemba 5, 2023.

ASFC KUTIMUA MBIO HII HAPA RATIBA YAKE, SIMBA, YANGA NA AZAM NDANI YA USHINDANI MZITO BOCCO MAMBO SIO MAMBO SIMBA,MGUU NJE MGUU NDANI…. ISHU KAMILI IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply