Ufaransa U-20 Yaipiga Ecuador 3-2 Kombe la Dunia 2026
UFARANSA imeonyesha tinhari na roho ya upambanaji baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Ecuador katika mechi ya Kundi C ya Kombe…
UFARANSA imeonyesha tinhari na roho ya upambanaji baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Ecuador katika mechi ya Kundi C ya Kombe…
Baada ya kuanza vibaya vibaya kwa kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya miamba ya soka Brazil, timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20,…
Jina la Cristiano Ronaldo limeifanya Ureno kutambulika kote duniani katika soka la wanaume, lakini sasa kikao cha wanawake cha nchi hiyo kimeanza safari mpya ya…
NAHODHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Colombia ya umri chini ya miaka 20, Juana Ortegon, ameweka wazi kuwa kikosi chao hakina lengo jingine…
Kiungo machachari wa Japan, Noa Fukushima, ametangaza wazi kuwa lengo kuu la timu hiyo katika michuano ya Kombe la Dunia ni kuhakikisha wanarejesha taji la…
SAFARI ya Kombe la Dunia la FIFA U-20 la Wanawake 2026 inaanza rasmi leo, Septemba 5 nchini Poland. Macho yote ya wapenzi wa soka yanaelekezwa…
Kawempe Muslim Ladies Mabingwa CECAFA: Watavunja Mwiko wa Afrika Au Watakwama Kama Wengine? Kawempe Muslim Ladies imeweka historia mpya baada ya kutwaa ubingwa wa Ukanda…
Macho na masikio ya mashabiki wa soka la wanawake Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) leo Jumamosi, Agosti 29, 2026, yanaelekezwa katika Uwanja wa…
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania, Simba Queens, wameanza vyema kampeni yao ya kusaka ubingwa wa CECAFA Women’s Champions League baada ya kuibuka…
Nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Malawi (Scorchers), Tabitha Chawinga, ameeleza imani yake kubwa kuwa mshambuliaji wa Kansas City Current, Temwa Chawinga, ana…