Meridianbet

BARA GANI KUTAWALA MAREKANI, MEXICO NA CANADA……?

Vardo June 8, 2026 2:42 pm

Nani unampa nafasi ya kwenda kutawala kwenye Michuano hii ya Kombe la Dunia 2026?. Nchi kibao zitaingia uwanjani kupambania nafasi ya kuwa mabingwa. Je ni bara gani kuondoka kifua mbele?

America ya Kaskazini ipo kwenye mabara ambayo ynaweza kushinda kombe hilila Dunia. Nchi ambazo zipo kwenye bara hili ni pamoja na Marekani, Canada, Mexico, na wengine weng.

Wachezaji ambao wapo kwenye bara hili na wanaweza wakafanya vizuri kwenye michuano hii ni pamoja na Pulisic, Tyler Adams, Alphonso Davies, Raul Jimenez, na wengine ambao wanwaeza wakazisaidi timu zao kubeba taji hili. Meridianbet wamelipa bara hili ODDS 20 kubeba taji hili. Suka jamvi hapa.

Nalo bara la America ya Kusini pia lipo kwenye mabara ya kuondoka na taji ambapo hapa zinapatikana nchi kama vile Argentina, Brazil, Ecuador, Chile, Uruguay, Colombia, Peru na nyingine nyingi. Bara hili ndio mabingwa watetezi wa kombe hili ambalo lilibebwa na Argentina.

Wachezaji wakubwa ambao wapo kwenye bara hili na wanapewa nafasi kubwa ya kufanya vyema ni kama vile Lionel Messi, Lautaro Martinez, James Rodriguez, Viniciuz Junior, Raphinha, Luis Diaz, Caicedo, Hincapie, Nunez na wengine wengi. Nafasi ya bara hili kushinda Kombe la Dunia ni ODDS 4.00. Bashiri hapa.

Mpunga mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Bara la Ulaya ndio linaongoza kwa kupewa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi ambapo hapa ndipo zinapatikana nchi kubwa zenye wachezaji wenye viwango vikubwa. Ikiwemo Ufaransa, Uingereza, Ureno, Uholanzi, Hispania, Uswizi nazingine kibao.

Lakini pia bara hilo lina wachezaji wengi wakubwa na wenye ubora wa hali ya juu ambao wanaweza wakatetea taji hilo wakiwemo Kylian Mbappe, Harry Kane, Cristiano Ronaldo, Lamine, Desire, Haaland, Bruno na wengine kibao kabisa. Meridianbet wamelipa Odds 1.30 bara hili ya Ulaya kushinda Kombe la Dunia. Jisajili hapa.

Pia kwenye mashindano haya Bara la Afrika pia lipo nafasi ya 4 kwenye moja ya mabara ambayo yatashinda Kombe la Dunia 2026 huku mara ya mwisho mshindi wa tatu wa Kombe la Dunia alitokea bara hili. Nchi ambazo zinaweza kufanya vizuri ni pamoja na Morocco, Senegal, Ivory Coast, Ghana, Misri, Tunisia na zinginezo ambazo zinashiriki.

Wachezaji wakubwa ambao wapo kwenye maashindano haya ni pamoja na Achraf Hakimi, Brahim Diaz, Ndiaye, Gueye, Sadio Mane, Mudau, na wengine wengi. Bara la Afrika kuchukua Kombe la Dunia limepewa Odds 30. Tengeneza jamvi hapa.

Je kwenye hayo mabara manne ni bara lipi litaondoka na Kombe hili la Dunia 2026?. Endelea kutengeneza pesa kupitia Meridianbet kwani Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwaajili yako.

BAJABER AFANYA MAAJABU KENYA, SIMBA YABAKI KWENYE MTEGO DUCHU ASEMA UKWELI MCHUNGU KWA WAPINZANI, SIMBA INAJITAZAMA YENYEWE