Kelvin Nashon Afunguka Mwanzo Wake Simba SC: “Nimepokelewa Vizuri
Kiungo mpya wa Simba SC, Kelvin Nashon, ameanza maisha yake mapya ndani ya kikosi hicho kwa tabasamu na ari kubwa, huku akibainisha kuwa mapokezi mazuri…
Kiungo mpya wa Simba SC, Kelvin Nashon, ameanza maisha yake mapya ndani ya kikosi hicho kwa tabasamu na ari kubwa, huku akibainisha kuwa mapokezi mazuri…
Klabu ya Azam FC imeendelea kutikisa soko la usajili nchini baada ya kukamilisha rasmi usajili wa beki wa kati raia wa Ubelgiji, Henri Stanic, akitokea…
KUNA wakati pesa inakupa kile unachotaka, na ni mara chache inaweza kukunyima kile unachotamani. Azam FC imepata kile inachotaka baada ya kufanikiwa kumbakisha kocha wao…
YANGA inaendelea na msako wa kutafuta kocha mpya na sasa kuna majina mengine mawili yanatajwa akiwemo kocha wa zamani wa Simba ambaye aliibadilisha timu hiyo…
KATIKA harakati za kuboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao, inaelezwa kwamba Yanga ipo katika mawindo ya winga Mkongomani, Henoc Molia, huku ikibainisha imeingilia dili…
KOCHA wa Simba, Steve Barker ni kama ameanza kupiga upya hesabu za benchi la ufundi msimu ujao na sasa ametua kwa kocha mmoja aliyezipa shida…
KAMA kuna taarifa inayowasumbua mabosi wa Azam FC na mashabiki wake kwa sasa, basi ni habari inayodai kocha Florent Ibenge anakwenda kuifundisha timu ya taifa…
RAIS wa heshima wa Klabu ya Simba na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji, ametajwa katika orodha ya TIME100 Philanthropy 2026 inayotolewa na jarida maarufu duniani…
Mastaa wa Simba kwenye upande wa ushambuliaji ikiwa ni Jean Baleke, John Bocco na viungo, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ watakutana na balaa la Kocha Mkuu, Abdlehak…
KIUNGO Mshambulijai wa Yanga, Stephane Azizi Ki amesema kuwa licha ya kuwa kinara katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara lakini hafikirii kabisa…