MEXICO KUJARIBU SIRAHA ZAKE DHIDI YA AUSTARIA
Mchezo huu wa kirafiki utakaopigwa leo Mei 31 saa 4:00 alfajiri una umuhimu mkubwa kwa Mexico, ambaye ni mwenyeji wa Kombe la Dunia linaloanza Juni. Mexico anataka kujenga kasi na kujaribu mfumo wake wa mwisho.
Kwa upande mwingine, Australia ambaye naye amefuzu Kombe la Dunia (kundi D lenye Ufaransa, Denmark, na Tunisia) anautumia mchezo huu kujiandaa kwa safari yake ndefu ya Ulimwengu, licha ya kuwa mgeni na anayekabili tofauti za muda na hali ya hewa.
Mexico ana faida ya kuwa nyumbani, na ana wachezaji wenye uzoefu wa kimataifa wengi wakicheza katika ligi za Mexico na Ulaya. Uwanja wa nyumbani unawapa morali na wanauelewa vyema uwanja pamoja na hali ya hewa. Changamoto yao ni kuhakikisha hawajeruhiwi kabla ya Juni, hivyo wanaweza kucheza kwa kasi ya wastani. Mexico anategemea mpira wa haraka, mashambulizi ya pembeni, na umiliki wa mpira wa kiungo.
Australia ni timu yenye nguvu za kimwili na wachezaji wengi wanaocheza Uingereza na Ulaya. Wana sifa ya kuwa wakali katika mipira ya juu na kukaba kwa nguvu. Hata hivyo, kuwa ugenini dhidi ya mwenyeji wa Kombe la Dunia ni mtihani mkubwa, hasa kukabiliana na joto na shinikizo la mashabiki. Australia atajaribu kucheza mpira wa kujihami na kutumia mashambulizi ya kukabiliana (counter-attack) kupitia wachezaji wake wepesi.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mexico atamtegemea mshambuliaji wake mahiri kama Henry Martín au Santiago Giménez na kiungo mchora magoli. Australia atamtegemea beki wake hodari (kama Harry Souttar) na wachezaji wa pembeni wepesi. Usawa wa ulinzi wa Australia dhidi ya mashambulizi ya haraka ya Mexico utakuwa uwanja wa vita. Pia, ni muhimu kuangalia jinsi Australia anavyozuia mipira ya pembeni na kona, kwani Mexico anapenda kutumia nafasi hizo. jisajili
Kwa kuwa Mexico ni mwenyeji wa Kombe la Dunia, ana nia ya kuondoka na ushindi wa kujiamini mbele ya mashabiki wake kabla ya Juni. Australia naye atapambana ili kuonesha kuwa anastahili kuwa kundi D lenye timu kubwa, lakini ugenini dhidi ya Mexico ni kazi ngumu kutokana na mazingira na ubora wa wapinzani. Kwa uwezo na hamu ya Mexico ya kufurahisha nyumbani, wana uwezekano mkubwa wa kushinda