Habari za Simba
Habari za michezo

WADAU WA SOKA LA BONGO WATAKA KOCHA MPYA WA SIMBA APIMWE HIVI

Staff Desk November 30, 2023 12:30 pm

Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile, amesema kocha mpya wa Simba SC, anapaswa kupewa muda kabla ya watu kuhukumu kama anaweza kuiletea Simba mafanikio au la.

Ambangile ametoa kauli hiyo leo Novemba 30, 2023 alipokuwa akijibu swali la mtangazaji Ahmed Abdallah wa Wasafi FM aliyehoji je Kocha mpya wa Simba, apewe mechi ngapi ndio ajadiliwe staili ya uchezaji na matokeo.

“Benchikha apewe Mechi zisizopungua 10 angalau tutaanza kuona timu yake inavyocheza na kusisitiza, anahitaji muda ukizingatia amekosa preseason na Kikosi hicho,” alisema Ambangile.

AL AHLY KUTUA DAR LEO, MASTAA HAWA WA YANGA NJE YA DIMBA YANGA WAIPIGA KIJEMBE SIMBA KISA VIKAO VYA USIKU…. KAMWE AFUNGUKA HAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply