Derby ya Mabilioni: Makgalwa Sh3.6 Bilioni, Aziz Ki Bilioni—Nani Atamliza Mwenzake?
Simba vs Yanga kwenye derby ya mabilioni: thamani ya Makgalwa, dili la Aziz Ki, mishahara na makadirio ya gharama za kambi kuelekea Oktoba 10, 2026.
Simba vs Yanga kwenye derby ya mabilioni: thamani ya Makgalwa, dili la Aziz Ki, mishahara na makadirio ya gharama za kambi kuelekea Oktoba 10, 2026.
Hatimaye ile Derby ya kibabe iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya Ngao ya Jamii imefika. Je Ni Simba au Yanga kuondoka na pointi 3?. Tengeneza jamvi…
ZANZIBAR: Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ametuma ujumbe mzito kwa watani wao wa jadi Yanga SC, akisema kikosi chake kipo tayari kwa asilimia…