WAFCON 2026: Banyana Banyana Kwenye Presha Kubwa, Burkina Faso Kuamua Hatima Yao
Mabingwa watetezi wa Soka la Wanawake Barani Afrika, Afrika Kusini (Banyana Banyana), wamejikuta kwenye wakati mgumu katika mashindano ya WAFCON 2026 baada ya kuanza vibaya…