Mngqithi Afichua Hali ya Kikosi cha Yanga na Majeraha Botswana: “Fred Ngoma Yupo Kwenye Mashaka”
BOTSWANA: Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, amewatoa hofu mashabiki wa klabu hiyo baada ya kuthibitisha kuwa kikosi chake kipo katika hali nzuri kimwili na…