ENG HERSI AMPA NENO HILI GSM BAADA YA YANGA KUCHUKUA POINT TATU KIBABE
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu katika mchezo wake dhidi ya Medeama katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Katika mchezo huo ambao Yanga…
Klabu ya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu katika mchezo wake dhidi ya Medeama katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Katika mchezo huo ambao Yanga…
Yanga inashuka jioni ya leo kwenye Uwanja wa Azam Complex katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, lakini wakimaliza watarudi kibaruani katika Ligi…
Aliyewahi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa alianza kuichukia klabu hiyo mara tu baada ya kuondoka na kujiunga na watani zao…
LEO NOVEMBA 19, 2023 ni siku muhimu kwa Mfanyabiashara, Ghalib Said Mohamed (GSM) ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na kipenzi cha mashabiki wa Yanga.…
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, ameweka wazi kuwa, kukosa taji la Ngao ya Jamii sio mwisho wa mapambano, hivyo nguvu kubwa inawekezwa kwenye mashindano…
Kuna hesabu ngumu mabosi wa Yanga wanazipiga juu ya kukiboresha kikosi chao hasa juu ya kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji na kuna mastraika watatu…
Uongozi wa Young Africans umesitiza juu ya kumalizana na wachezaji wote ambao walikuwa wakiwahitaji, huku wakiweka wazi kuwa hakuna mchezaji mwingine yeyote ambaye walikuwa wanamhitaji…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa sababu kubwa ya kumsajili beki Nickson Kibabage ni kutengeneza wigo wa kuwa na wachezaji wengi…