KWA TAARIFA YAKO SIMBA WAMESHAMPA THAN YOU KIYOMBO….MUDA WOWOTE ANATUA KATIKA KLABU HII
Klabu ya Simba tayari imeshampa “THANK YOU” Mshambuliaji wake raia wa Tanzania Habibu Kiyombo na kilichobaki ni kumtangaza tu. Habibu alifanya vizuri 2021-22 akiwa na…