De Zerbi matatani Tottenham: Mambo yaharibika Spurs baada ya kutumia Bilioni 1.1 Trillion!
LONDON, ENGLAND – Kocha mkuu wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi, ameanza kuingia kwenye shinikizo kubwa kufuatia matokeo mabovu ya timu hiyo mapema msimu huu…