Tag: jezi feki
ALIYELETA JEZI FEKI SIMBA, YANGA KUANIKWA HADHARANI LEO
Mzabuni wa jezi za Klabu ya Simba na Mfanyabiashara mkubwa wa Maduka ya Nguo @sandalandtheon1 leo atamuanika kwa jina aliyeleta jezi feki na kuzisambaza...
JEZI FEKI ZAIPA HARASA YANGA, MZIGO HUU UMEKAMATWA
Mwakilishi wa Kampuni ya GSM kwenye msako uliozikamata jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars kwenye Ghala la Tosh Logistics lililopo Chang’ombe Dar...