Habari za michezo

ALIYELETA JEZI FEKI SIMBA, YANGA KUANIKWA HADHARANI LEO

Staff Desk October 26, 2023 12:37 pm

Mzabuni wa jezi za Klabu ya Simba na Mfanyabiashara mkubwa wa Maduka ya Nguo @sandalandtheon1 leo atamuanika kwa jina aliyeleta jezi feki na kuzisambaza nchini.

Amesema leo atamtaja kwa jina ili umma ujue ni nani anayehusika na kuleta mzigo huo nchini.

Sakata la jezi feki linakuja baada ya @sandalandtheon1 kukamata mzigo feki katika moja ya sehemu za kuhifadhia Mizigo Jijini Dar es Salaam.

GAMONDI AWEKA MPANGO YAKE MEZANI DHIDI YA SINGIDA MAJANGA MKUDE AMFUNGULIA MASHTAKA MO DEWJI ADAI FIDIA KISA HIKI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply