ALIYELETA JEZI FEKI SIMBA, YANGA KUANIKWA HADHARANI LEO
Mzabuni wa jezi za Klabu ya Simba na Mfanyabiashara mkubwa wa Maduka ya Nguo @sandalandtheon1 leo atamuanika kwa jina aliyeleta jezi feki na kuzisambaza nchini.…
Mzabuni wa jezi za Klabu ya Simba na Mfanyabiashara mkubwa wa Maduka ya Nguo @sandalandtheon1 leo atamuanika kwa jina aliyeleta jezi feki na kuzisambaza nchini.…
Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi. Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa…
HATIMAE ile safari ya Kibegi cha Simba imegotea kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Huu ni uzinduzi wa kwanza kwa Simba kufanya jambo hili kwa kuzindua…
WAKATI vilabu mbalimbali vikiwa katika harakati za usajili na maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, timu ya Namungo imeweka kambi mkoani Arusha. Taarifa ya Namungo…
MSAFARA wa watakaohusika kwenye uzinduzi wa jezi mpya za klabu ya Simba kwa msimu wa 2023/2024 umeondoka Dar es Salaam kwenda mkoani Kilimanjaro kwa ajili…