Habari za michezo

KIBEGI CHA SIMBA SC KIMESHAFIKA KILIMANJARO, UZI HUU HAPA

Staff Desk July 21, 2023 8:43 pm

HATIMAE ile safari ya Kibegi cha Simba imegotea kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro.
Huu ni uzinduzi wa kwanza kwa Simba kufanya jambo hili kwa kuzindua uzi mpya kwenye mlima mrefu Afrika.

Ikumbukwe kwamba Simba ni mabalozi wa utalii wa ndani na kwenye mechi za kimataifa wana uzi wao wenye nembo ‘Visit Tanzania’.
Ni watu maalumu ambao ni mashabiki wa Simba wamefanikisha zoezi hili ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2023/24.

Uzi huo unapatikana kwenye maduka yote Tanzania na popote anayehitaji uzi mpya anapelekewa.

KOCHA WA YANGA AIMWAGIA SIFA YANGA, GAMONDI ATAMBA KUMBE MSIMBAZI WALIMNYAKUWA STAA HUYU, KABLA YA YANGA ISHU NZIMA IKO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply