Habari za michezo

BAADA YA SIMBA KUELEKEA KILIMANJARO KUZINDUA JEZI, NAMUNGO NAO WAFANYA HILI

Staff Desk July 19, 2023 8:59 pm

WAKATI vilabu mbalimbali vikiwa katika harakati za usajili na maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, timu ya Namungo imeweka kambi mkoani Arusha.

Taarifa ya Namungo imesema maandalizi kwa ajili ya msimu mpya yanafanyika kwenye viwanja vya kituo cha kukuza vipaji cha Black Rhino, Karatu.

“Tayari kikosi kimeshawasili Karatu kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2023/2024,”

Namungo imetoa taarifa hiyo baada ya kuzindua jezi mpya zitakazotumika msimu mpya ujao.

KOCHA WA YANGA GAMONDI ANENA NA MASHABIKI, ASEMA HAYA BREAKING NEWS:….YANGA WAANIKA KIFAA CHA KAZI LEO….NI ‘ZIDANE’ WA AFRIKA…JAMAA NI BALAAH..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply